NI MICHUANO YA FAWASCO MWAKA 2010-2011 KATIKA CHUO CHA ST.AUGUSTINE JIJINI MWANZA AMBAPO TEAM YA BAED1 ILIFANIKIWA KUINGIA KATIKA FAINALI DHIDI YA TEAM YA BAPRM1,AMBAPO USHINDI ULICHUKULIWA NA BAED1 KUWA MABINGWA WA FAWASCO MWAKA JANA NA KUJICHUKULIA KITITA CHA SHILINGI MILLION KUMI NA NNE
HONGERA TEAM YA BAED 1 kwa ushidi ila ongezeni juhudi katika mechi zijazo kwamaana kuna team inaitwa BAPRM3 wamejiandaa vya kutosha ili kurudisha heshima yake ya mwaka juzi baada ya kuchukua ushindi dhidi ya team ya BAED2.Mimi bartazary soko from SAUT
ReplyDeletehongera kwa ushindi
ReplyDelete