WAWEKEZAJI WA UMEME TOKA UINGEREZA WAKUTANA NA PINDA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wawekezaji kutoka kampuni ya
Endenville Energy PLC ya Uingereza ambao wanakusudia kuwekeza katika
umeme wa makaa ya mawe nchini.Wawekezaji hao ni Mwenyekiti wa Kampuni
Simon Rollason (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Mark Pryor
(wapili kushoto) na kushoto ni Mwenyeji wao, Cassiano Kaegele,
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Upendo Group ya Sumbawanga.
WAFANYE MAPEMA AYO MAMBO BWANA WATU WANA SHIDA YA UMEME WAMECHOKA KUKAA NA GIZA
ReplyDeletetushabak kutapeliwa 2 tatzo hatuandai strategy za kuwabana hawa wawekezaji hata mirad mingi inakufa hata sielew why 2nawafumbia macho na kuwakingia vifua lazma tusimame tuwe makin katka utendaji we2 na kujali nchi ye2 we have to change our behaviour first in order to build the new society
ReplyDeleteYAP AZDAH SEMA NINI INABIDI KWANZA KUANGALIA HII WIZARA HUSIKA WA SWALA HILI LA UMEME NA KUCHEKI TUNAFANYA NINI KUTATUA HILI TATIZO SIO KILA SIKU WAWEKEZAJI WANAKUJA NA KUZUNGUMZA JUJUU TU THEN NOTHING DONE,MARA NGAP TUMEONA MASWALA HAYA
ReplyDelete