Saturday, March 17, 2012


KIKOSI CHA TIMU YA BAPRM 3 KUTOKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO JIJINI MWANZA  KILICHOCHUKUA USHINDI KATIKA MASHINDANO YA FAWASCO (2011-2012)  DHIDI YA  TIMU YA LLB4 (3-1) 

7 comments:

  1. KWA SPEED ILIYOANZA NAYO PR3 ITAENDA RWANDA...GIDEON KATWIRE

    ReplyDelete
  2. PR3 tujitokeze kwa wingi kushangilia timu yetu....Mushi elihaika

    ReplyDelete
  3. ushindi kwa PR3 ni lazima na rwanda lazma twende.....Eligretha

    ReplyDelete
  4. Tuwape support wachezaji wetu ili wachukue kombe la Fawasco.....happy

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. pr3,guys,tuko tight sana,ushindi lazima. Mbelenge George.

    ReplyDelete
  7. safari ya kigali ni ye2 tkaze buti kwani uwezo tunao. Renalda

    ReplyDelete