Mama wa mtoto mmoja
anayeitwa Blue Ivy na mke wa mkali wa Hip Hop duniani Legend The man himself
Jay – Z, Beyonce wikendi hii ataperform ikiwa ni show ya kwanza kwa takribani
zaidi ya mwaka sasa alikuwa hajaperform kutokana na kubanwa au kupata muda wa kutosha
kumlea mtoto wake Blue Ivy. Concert hiyo itakuwa huko katika jiji la Atlantic
siku ambayo itakuwa ni siku ya kukumbukwa.
Wakati wa mazoezi
(rehearsal) kwa ajili ya concert hiyo Beyonce alionekana bado ni noma alikwenda
na beat fresh wimbo wa “Halo” na akajifunza mitindo mipya wakati wa rehearsal
hiyo. Beyonce alianza rehearsal mwezi mmoja uliopita “ Da nouma aisee,
naifikiria hii concert sana, nanafuraha kubwa kuwa mama, lakini sasa narudi
kazini, itakuwa ngeni kidogo, ni muhimu kwamba hupotei bado unakipenda
unachokipenda, nimerudi, nimerudi kazini” Alifunguka Beyonce.
Inawezekana kufanya vyote kwa wakat mmoja ikiwa ni pamoja na kuwa mama na kufanya kazi kwa pamoja kaza buti mama blue ivy, welcome back
ReplyDeletePAGE NDO IMEFUNGUKA SASA APO TUNGOJEE BRAND ZAKE SASA
ReplyDelete