JK Afanya Mazungumzo Na Rais Wa Ivory Coast Jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Allasane Ouattara wa Ivory Coast wakitembea kwa miguu kuelekea kwenye sehemu waliyotengewa
kufanyia mazungumzo rasmi katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo
May 30, 2012 ambako Rais huyo wa Ivory Coast amefika kuhudhuria mkutano
wa afDB ambao unbafunguliwa rasmi kesho na Rais Kikwete katika ukumbi
wa AICC. Katika maongezi yao Rais Kikwete amesema Tanzania inaunga
mkono juhudi za Ivory Coast za kutaka kurejesha nchini humo makao makuu
ya afDB ambayo yamehamia Tunisia kutokana na vurugu zilizotokea
Abidjan baada ya uchaguzi mkuu mwaka jana.
No comments:
Post a Comment