MWANA CHUO:TUNAOMBA TUONGEZEWE IDADI YA COMPUTER MAKTABA (SAUT)

Kutoka katika Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT)jijini
Mwanza,mwanafunzi ashauli chuo icho kinatakiwa kuongeza idadi ya computer
maktaba umo,ili kuwapa nafasi wanafunzi hao kuwa na uwezo wa kutumia computer
kwa mda mrefu na sio kusubiliana foleni.Mwanafunzi uyo pia anasema matumizi ya
tecknolojia kwa sasa ni muhimu hasa wakati pale mwanafunzi anahitaji kupata
taarifa zinazoendelea apa duniani pamoja na kupata nafasi ya kutafuta vitu ambavyo
vinahusiana na masomo yake darasani.
pia wazingatie speed ya internet kwasabau iko slow sana hasa sisi ambao tuna access ya wireless nje ya chuo na tunakaa mbaaaallii
ReplyDelete