Friday, May 11, 2012

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE AKIWA ADDIS ABABA ..Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Canada Bi. Berly Oda walipokutana kwa mazungumzo katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika







No comments:

Post a Comment