MAMA NTILIE (MAISHA PLUS) WASHAULIWA KUZINGATIA USAFI

Moja kati ya sehemu zinazouza vyakula karibu na maeneo ya
chuo (SAUT) kunapofahamika kwa jina la MAISHA PLUS,washauliwa na wanafunzi wa
chuoni apo kuzingatia swala zima la usafi,ambapo imegundulika hivi karibuni
kiwango cha usafi kimeshuka, kitu kinacho weza sababisha maambukizi ya
magonjwa mbalimbali ikiwemo kipindupindu.Kwenye picha apo juu ni sahani ambayo
imesahaulika kuchukuliwa baada ya mwanafunzi kumaliza kula mda mrefu uliopita.
No comments:
Post a Comment