baada ya mkali wa nai nai Ommy Dimpoz kuongea
katika radio mbali mbali na kumuua kwa maneneo Cyrill, kwa kusema "cyrill
ni msanii ambae hafanyi show kabisa" Cyrill saa hii kafunguka kupitia XXL
ya CloudsFm na kusema kuwa "Ana tabia za kike kwa kukimbilia katika media
na kuzungumza tu, siku nyingine ajipange kabla ya kufanya interview,
anajionyesha ni jinsi gani amechezea madarasa machache sana tena kwa muda
mrefu, tena kuna siku nilimtizama nikamuona ana shape ya kike........
yote haya yametokana na kuzuiliwa kwa Cyrill kufanya show na BASATA siku
ya jumapili iliyopita (ambapo alifanikiwa kuifanya) kwa kudaiwa ni mkenya,
wakati huo huo Ommy Dimpoz akiwa na show yake siku hiyohiyo, ndipo Ommy Dimpoz
alipofunguka kwenye media na kusema kuwa Cyrill anatangaza kuwa yeye ndio
kamfanyia fitna ili asifanye show. Ommy alikua akipiga show ndani ya Billcanas
wakati Cyrill akifanya show yake Club Maisha
matumiz ya media yanahitaji umakini wa hali ya juu,nilibaatika kuisikia interview ya omy dimpoz hakuonyesha kumdis mtu yeyote na kusisitiza hana tatizo na mtu na hajawahi kufikiria ivyo. so guys tujifunze kutumia media vizur
ReplyDelete