Saturday, May 19, 2012

DR.KITIMA MGENI RASMI KUWAAGA WANACHUO WANAOTALAJIA KUMALIZA MASOMO YAO YA ELIMU YA JUU SAUT

WANAFUNZI WA KIKATORIKI CHUONI SAUT MWANZA LEO WAFANYA SHEREHE YA KUWAAGA WANACHUO WENZAO WA MWAKA WA TATU NA WA NNE,KATIKA UKUMBI WA M 10 AMBAPO MGENI RASMI ALIKUWA DR.KITIMA,

15 comments:

  1. HONGERA KWA WOTE WANAOTALAJIWA KUMALIZA CHUO MWAKA HUU,NAWATAKIA MAANDALIZI MAZURI YA MITIHANI YAO APO MBELENI

    ReplyDelete
  2. MBONA WEWE SIJAKUONA KWENYE SHEREHE BARTAZARY

    ReplyDelete
  3. NILIKUWEPO SEMA NILICHELEWA KUJA DADANGU

    ReplyDelete
  4. HONGERENI SANA WAHITIMU

    ReplyDelete
  5. nawatakia mitihani mema apo mbeleni

    ReplyDelete
  6. hengereni jamani mm nilimsi that thing.....

    ReplyDelete
  7. kweli kwenda kanisani ni muhimu jamani nimekosa graduation ya dini hivi hivi

    ReplyDelete
  8. NASHANGAA SANA AGNES WAKATI NA WEWE NI MKRISTU MZURI HATA KANISANI SIJAKUONA

    ReplyDelete
  9. UWE UNAENDA KANISANI LAKINI AGNES

    ReplyDelete
  10. yaani mi mwenyewe 4 the 1st time sina chet cha dini, najinea aibu na nafsi yangu

    ReplyDelete
  11. POLE SANA KAZA UKIFIKA MASTERS UKIPATE UWEZI JUA UNAWEZA PATA KAZI KWENYE SHIRIKA LA MA SISTER

    ReplyDelete
  12. SWALA SIO CHETI BALI NI KUJITOA NA KUMTUMIKIA MUNGU KATIKA MATENDO YAKO YA KILA SIKU,USIHUDHUNIKE KWA KUKOSA CHET BALI UHUDHUNIKE KWA KUTOKUWA KARIBU NA MUNGU KIPINDI CHOTE

    ReplyDelete
  13. HIYO NI ADITIONAL POINT KWA RENALDA

    ReplyDelete
  14. polen.... mliokosa kuhudhuria gradu hyo

    ReplyDelete