POLE MAMA KWA KAZI NZITO
Mmoja kati ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu
Augustine kilichopo Mwanza, akiwa anampa pole mama wakati anatoka kwenye
shughuli zake za kufua nguo za wanafunzi apo chuoni.Mama uyu kwa jina ni Mama
Vero ni mkazi wa apa jijini Mwanza huwa anafanya kazi ya kuwafulia nguo
wanafunzi wakike na wakiume wa apo chuoni na kupewa kiasi flani cha fedha kwa
kazi hiyo,kiwango ambacho akikidhi mahitaji yake ya msingi pamoja na familia
yake uko nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment