Saturday, May 26, 2012

JOHN LEGEND AMLINDA GIRLFRIEND WAKE KWA MASHABIKI WA CHRISS BROWN.


Weekend iliyoisha girlfriend wa John Legend "Chrissy" aliingia katika vita kali na mashabiki wa Chriss Brown baada ya kutweet kuhusu lips za Chriss Brown wakati wa Billboard Music Awards. Wakati huo huo alikuwa kwenye stage akatweet “ Lip syncing is a helluya drug” kitu kilichopelekea mashabiki wa Breezy kuchukia sana usiku ule hadi kesho yake pia. Chrissy alitumia muda mwingi usiku ule kuwaentertain mashabiki wake kwa kuretweet jinsi walivyokuwa wakipewa vitisho vya mauaji kabla mwishowe ajaamua kwamba imetosha.

No comments:

Post a Comment