Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga
kengele kuashiria mwanzo wa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na
Mitaji ya Mazao la Ethiopia jana Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa
mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya
biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa
No comments:
Post a Comment