MENEJA (UNYAYO ABDULAHMANI): HONGERA SANA TIMU YA BAPRM3 KWA KUFIKA ROBO FAINALI

Meneja wa timu ya miguu ya BAPRM3 (SAUT) Unyayo Abdurahmani
(Kisasa Gharama) atoa pongezi zake kwa timu hiyo kwa kujitaidi kufika kiwango
cha robo fainali kwenye mashindano yanayoendelea chuoni apo ya FAWASCO.Ambapo
wiki iliyopita tarehe tano mwezi wa tano timu hiyo ilichuana na timu ya wanasheria
wa mwaka wa tatu(LLB3) na kupigwa kichapo cha gori moja bila na wanasheria hao
wa mwaka wa tatu,kitu ambacho kilipelekea timu ya BAPRM3 kutolewa katika
mashindano ayo ya FAWASCO.
aaaaaaaah kitu cha maneja .... azdah
ReplyDelete