Siasa ni kitu kizuri sana hasa kikitumiwa kwa malengo yanayotakiwa na hasa katika kuleta maendeleo, daima wanasiasa huwa na malumbano na kuoneshana chuki wanapokuwa katika mambo mengi ya kutafuta maendeleo ya wananchi wao na taifa kwa ujumla. Juzi Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alizua hoja ya kutafuta saini 70 za kumuondoa Waziri Mkuu madarakani zoezi ambalo linadaiwa kukamilika hadi sasa.
Mtu mwingine anaweza sema kwa kauli ile huenda
sasa Pinda na Zitto wakawa ni maadui lakini hakika ile ni siasa na mambo ya
siasa ni siasa na urafiki na ujamaa wao upo pale pale kama hivi wanavyoonekana
katika picha hii iliyopigwa mjini Dodoma nje ya viwanja vya Bunge mjini
Dodoma
Upinzani siku zote huleta uwajibikaji....Gideon
ReplyDeleteUpinzani siku zote huleta uwajibikaji...Gideon
ReplyDeleteKweli unayosema gideon, mambo ya siasa ni mchezo mchafu wanacheka kumbe wanafiki wakitoka wanasemana . Wanasiasa wengi ni wanafiki maneno ya nje but ndani kila mmoja anataka mafanikio yake binafsi. By kabonge edmund
ReplyDeleteha ha ha ha ha mnavosema siasa ni mchezo mchafu sijawaelewa apo namba ufafanuzi kidogo
ReplyDeletethey make us fool. i hate politics although am in politics sociaty
ReplyDelete