Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake
wakiwa katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012
alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na
wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
No comments:
Post a Comment