Saturday, May 12, 2012

STATIONARY ZAONGEZA BEI YA PHOTOCOPY



 Hizi ni  ya stationary zilizoko katika  chuo kikuu cha MtakatifuAugustine (SAUT) jijini Mwanza, katika maeneo ya Nyamalango chuoni apo,zaongeza bei ya kutoa photocopy kutoka kiwango cha shilingi 30 hadi shilingi 50 kitu ambacho kinakuwa kigumu kwa wanachuo  kukidhi huduma hiyo ya photocopy kutokana na ugumu wa upatikanaji wa hela apo chuoni

No comments:

Post a Comment