Monday, May 28, 2012

CHAMA CHA SSPRA WAFANYA SHEREHE YA KUWAAGA WANACHAMA WENZAO WA MWAKA WA TATU HAPO JANA JIJINI MWANZA

KATIKA BEACH YA ROYAL SUNSET APO JIJINI MWANZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SAUT JIJINI MWANZA WAFANYA SHEREHE YA KUWAAGA WANACHUO WENZAO WA MWAKA WA TATU AMBAO WANATARAJIWA KUMALIZA MASOMO YAO YA ELIMU YA JUU APO CHUONI,

MOJA KATI YA WANAFUNZI WALIOKUWA WANAAGWA KATIKA SHEREHE HIYO AMEWAASA WANAFUNZI WENGINE AMBAO HAWAKUWA KATIKA SHUGHURI AU SHEREHE HIYO KWAMBA, WAWE NA TABIA YA KUJIUNGA KATIKA VYAMA KWA SABABU MWISHO WA SIKU UWEZI JUA UNAPATA KAZI SEHEMU GANI AMBAPO KULE CHETI ULICHOKIPATA KINAWEZA KUKUSAIDIA KWENYE CV YAKO KUONYESHA KWAMBA ULIKUWA UNAHUDHULIA MAMBO FLANIFLANI YANAYOHUSIANA NA PROFFESSIONAL YAKO APO CHUONI

4 comments:

  1. NASIKITIKA KWASABABU WATU WA MWAKA WA TATU WA BAPRM 3 WALIKUWA WACHACHE KWENYE TUKIO HII INAASHILIA KWAMBA WATU HAWANA MUAMKO KUHUSIANA NA KITU WANACHOSOMEA APA CHUONI,ni ayo tu

    ReplyDelete
  2. afisa mahusiano wa hiyo association hakuweza kutoa mwamko kwa watu baada ya ule mchafuko wa association ndo maana hatukujiunha wengi. ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  3. yap ni mtazamo ila ukiangalia kutokana na ile ishu ya mwaka jana hata wadau wengi walikiona chama kama hakina umuhmu sana kwao na ndo mana ukiangalia idadi ya active members wa chama hiki wengi ni wa mwaka wa kwanza na wapili ila wa mwaka wa tatu ni wachache sana ndo mana nikazungumza hivo apo juu.MTAZAMO WANGUUUUUU

    ReplyDelete
  4. NAWAPA BIG UP SANA WANACHAMA WOTE NA WAHITIMU BECAUSE SHEREHE ILIPENDEZA SANA,MGENI RASMI ALITOA SSPEECH NZURI SANA,AMESEMA WAHITIMU WOTE WANANAFASI KUBWA YA KUPATA AJIRA KWA SBABU SAUT NI CHUO KINACHO TOA VIJANA WALIOIVA VIZURI KATIKA PROFESSIONALS ZAO.

    ReplyDelete